Posts

Showing posts from November, 2023

I AM DONE

Image
*I am Done*  I had Grace,my Gracie Grace was not graceful  She was a ruthless beast I wish I had mercy. I Found Mercy she wasn't merciful I am nursing my wounds She is like a  burning gasoline in my flesh She was my nightmare I wish I had Ruth.. Ruth my dear Ruth I wish she was my  mercy She wasn't Ruth  She was ruthless  My broken pieces were blended into painful stubs in my heart I wish I had joy. Ooh my wistful joy What a beautiful rose The joyful red morning rose My noisy parrot The judge in my house I slept in court  stand I took oath before I slept I wish I had Ever. My Ever my forever I was found of ever She was to be my forever I slept in ever I woke up alone I am dreaming of my forever She couldn't last in nighful  thought. I am done looking I am finding me I miss me I am better being me It's me until I am me @prof George Daniel Meya

MY ROYAL HOME

My royal home It's beautiful to watch sun rays from your bed side, Waking up listen to melodious birds chants Feel the beautiful morning breez on your favorite balcony corner, A house that feels more like home than a building. I stand on roof top balcony admiring the beautiful city lights Tall beautiful art of architecture brilliance  It's beautiful to  watch overnight. A house where my heartbeat belongs A place to live forever Peace for the restless world My dream adventure It's more than a house it's my therapy home. I couldn't call it palace neither a  castle It's bondage of peace and love From it's  painting to it's windows It's a little heaven a place to live. @prof George meya. @ danielaomulama@gmail.com

BARUA KWA BABU

*BARUA KWA BABU*   _SEHEMU YA SITA._  Safari ya panda shuka Milima mabonde lala amka mwishowe ilitufikisha *kokotoni* baada ya kusafiri usiku kuchaa. Safarini mazungumzo yangu na baba yalikuwa machache sana Mara kwa Mara ilikuwa swali jibu lakini wakati mwingine wote kila mtu alijiwaza yalio mhusu Maishani mwake.Baba alionekana kuwa mwenye msongo wa mawazo macho yetu yaligongana mdaa baada ya mdaa na wakati huu wote Nilimwona akijinong'onezea vijimambo.kwa hakika mama alikua ubavu wa baba,tangia habari za kutoweka kwa mama baba alikua mnyonye na mtu na moyo wake Mara ya mwisho kumwona Baba hivi ni wakati wa kifo Cha babake Rafiki yangu Babu. Jua la utosini liliangaza bila huruma kanakwamba kule juu  kunaye aliyelichochea kuni lizidi kushika kasi afueni upepo ulio kuwa wavuma vuma. *HAPA  NI KOKOTONI CHUNGA.* Kibanda kimoja si chambele si chanyuma kizee kizee kimezibwa utakuta pande moja na makindu kilikua na  bango la maandishi haya maandiko mazee hata wino...

Broken

Loving you always seem easy to love Our love was dangerous Insane moments we created You were my gravity Loving you was never wrong. I write to cover your absence Long night I cover my sleepless eyes  Your my addiction I miss you in your absence From heavenly nights to hell nights. I wish your my forever Did you choose life over death Was I your death Is he your life now. I am cursing the little flames you lit in my life. Goodbye were never meant to hurt in the end I am hurting with every sunset Love sounds mockery to me. Every moment I see  beautiful love birds my heart  break into more pieces. @prof George Daniel Meya

She is a mother

 SHE IS A MOTHER. She is young and ready to live, She is working hard to be a better mother, Toiling and giving all her best to be best Her absence is end life, She just want to be a better wife, Her hands are tide, Her heart is  overwhelming with sadness, Her eyes speaks of freezing soul insed her. A rose in a desert  Fighting to survive, She is worthy this love, A little flames into her heart, Will not hurt She will bloom once more and Please keep her safe in your arms she is trying to be the best. By prof George meya. @ danielaomulama@gmail.com

she broke it

You promised love You promised heaven on Earth You told me I was different You healed my broken fractures. You promised alot You had alot  You got me breathless moments Your my redemption. You broke a broken heart You killed a dying Hope You stole the only thing You announced my death. I live again I will remember I will nurse my broken fractures I will rest in pieces I will never forgive me. I am hugging my cactus I am bleeding my last breath I am a broken angel I am at my grave yard.. @prof George Daniel meya  danielaomulama@gmail.com

BARUA KWA Babu

*Barau kwa Babu*........yaendelea. Rafiki Babu shikamo? Pita pita zangu kwelekea kule kidimbwini   angalau nioshe mwili wangu Kama sio dhambi zangu..Juzi machweo badaa ya  kikao chetu nilijihisi mzima nikahisi joto la upendo wako wa dhati...... *Captain* Jana amekuwa mgeni wa kunguni kule  korokoroni  maskini mamangu katoweka Kule sijui.Babu ivi wajua mimi ni mjukuu wako wa majuzi tuu ata ubwabwa ujanisha shingoni..... Ila kule maskani Mambo hayaendani.Nimebaki kua baba na mama ya *kachele* *captain* anahukumia kifungo Cha miezi za kuhesabu kwa makosa ya   kupendaa staree bila kupendaa kazi....asiye fanya kazi na asilee Basi babangu kavuna asipo panda kwa kigogo  *Manoti*  matokeo ni mimi babake _kachele_ yapitee hayo yanauzunisha haya ni makubwa. Naliza moyo wangu,maswali mengi  majibu niyapate ng'o. Mdaa mwingi na jiuliza kwani kifo chako *Daraja*  kilipokonyaa jamii nzima nyota. Maskini mamangu katoweka wapi ? Umwonapo uko kusimu...

BARUA KWA BABU

*Barua kwa Babu* Shikamo Rafiki,Nina *one two* nataka niseme nawe ni mdaa nimekua kimia vya kutoshaa... kwanza habari za Bibi Ninazo Tangu utwache amebaki si wa leo si wa kesho uliondokaa na furaha yake. Mwanao mkubwa babangu tangu uondoke anajulikana Kama  “ *captain* " anabugia pombe kupita kiasi utadhani babake kambariki na mrijaa wa pombe...... Babu ivi Leo ungeli gutukaa tu...ungali duwaa kwa Mambo yanavyo badilika kwa kasi.....Nani Leo angalia jua   binti yako cheupee angalitwaa “ *Reverent* ” cheupe ni mshikadini kupindukia siku hizi inasemakana yeye na Mungu wanachatiii...... Babu nakumbuka vizuri ulinisema nipitapo makaburini niwe kinda kinda kwa kua mizimu siku zote ziko machoo....Basi Leo Niko apa kaburini Nina yangu ya kukulongea... Rafiki wakumbuka ile ndoto yangu ya kua Rubani uliipenda na tuliijivunia maono hayoo Ila babu Nina ati ati Leo juzi badala niote nikiwa napeperushaa ndege ( *Air force one)* niliotaa ninagemaa ......Babu Mimi Rubani nafanya nini ju...

BARUA KWA Babu 4

*BARUA KWA BABU*  _Sehemu ya nne ...._   Maisha ni leo.Ishi Leo kesho ishi tena.Kifo ni adui kwa wengi,hakibishi ni wapi Cha ingia hakiulizi ni yupi nimchukue,jamani kifo kingeweza kuzungumza wengi wetu hatungekua yatima,Rafiki yangu Babu angekua hai isitoshe wengi wamekata Tamaa baada ya kifo Cha wapendwa wao. Kifo kifo kifo ata mautini nitakulia. Kifo Cha Daraja kilianzisha maisha tofauti sana na yale tulishi kwa kasi ya umeme  mchana ukawa usiku mengi nayaona na ninajua kwa hahika nitayaona zaidi.Siku za mwisho ni kesho ishi kwa kungoja iyo kesho walio twacha  ni wapenzi wa leo,paradisoni walazwe roho zao pema mapeponi.  _Kachele kachelee *Baby papa is here* mama Bora  umepika nini mpenzi wangu.Dadaa vipi umezima *Data* leo  umevalia Nini_  Baba alingia chumbani na fujo   aliropokwa manenoo milioni Kama sio laki mengi niyasikia mengii yalinipita laiti angalijua yanayoendelea ata angalitamani kurudi alikotoka. *Reverend* aliombaa ...

BARUA KWA Babu

*Barua kwa Babu* Sehemu ya tatu..... yaendelea Kama kawaida najiliwaza kando ya kaburi la  kio changu msiri wangu Babu.(jua la Zama upepo   mwembamba wavumaa sauti inayo sikika ni nyimbo za makindu utadhani mashindanoni kwa kuimbaa).Babu leo ni  ijuma sijui niende msikitini nijee au tusemezane ndo niende zangu kule kwa *Mulungu*. Roho yangu Ina amani hapa Nina Imani Nita yapata yangu hapa.Leo kwema kuliko Jana afueni ya Leo nayasitiri. Babu  najua  yaleo maswali ni kwako utamaka utashangaa bila Shaka Apo nyuma Leo ningesikia “ *blood hell* ”. Alamisi 31/10/2023 jua likiwa utosini  saa Saba madakika.......pale mwembeni kidogo nitokome kwa dhana kua nimeona malaika. Binti yako wapekee uliye mzawidi kipande Cha ardhi shauku kwakee ndoa ni ndoto za mchana,kajitokezaa kavalia kanzu nyeupe pe! pe! juu Hadi chini nyeupe pe ata sanda tuliyo kufuma  nyeusi kwa kanzu ya *Reverend* . Duniani Kuna mengi kwa walio hai ishi uyaone. Mkutano wa dharura  ukak...