BARUA KWA Babu 4

*BARUA KWA BABU*
 _Sehemu ya nne ...._ 

 Maisha ni leo.Ishi Leo kesho ishi tena.Kifo ni adui kwa wengi,hakibishi ni wapi Cha ingia hakiulizi ni yupi nimchukue,jamani kifo kingeweza kuzungumza wengi wetu hatungekua yatima,Rafiki yangu Babu angekua hai isitoshe wengi wamekata Tamaa baada ya kifo Cha wapendwa wao. Kifo kifo kifo ata mautini nitakulia.

Kifo Cha Daraja kilianzisha maisha tofauti sana na yale tulishi kwa kasi ya umeme  mchana ukawa usiku mengi nayaona na ninajua kwa hahika nitayaona zaidi.Siku za mwisho ni kesho ishi kwa kungoja iyo kesho walio twacha  ni wapenzi wa leo,paradisoni walazwe roho zao pema mapeponi.

 _Kachele kachelee *Baby papa is here* mama Bora  umepika nini mpenzi wangu.Dadaa vipi umezima *Data* leo  umevalia Nini_  Baba alingia chumbani na fujo   aliropokwa manenoo milioni Kama sio laki mengi niyasikia mengii yalinipita laiti angalijua yanayoendelea ata angalitamani kurudi alikotoka. *Reverend* aliombaa Tena dakika moja mbili ( Kuna nini humu sielewi) mwombewa hana  picha analipua lipua tu yale alikosa kuyasema akiwa mgeni wa kunguni pengine kunguni wamechangia milipuko za Leo.

 *Dad* karibu nyumbani nilikabidhi mwenyewe mamlaka yake mungu mwema Leo hii mimi ni mwana na mjukuu na Kaka  ijulikane Hadi lini ni saa tu. Huku kachele  anadekezwaa dekezwa amebebwa na Baba amejikunja utadhani ni ndege kiotani. Ya _mungu ni mengi ya kuku ni mayai tu_  kwa gafla aliyekua mfuu mtarajiwa alianza kuzungumza Cha mama Cha baba
 _Namshukuru Mulungu namanya tawe machero ni relo kumulola mwana wanguu.
Mengi niliyasikia mengi yalinipita. Chini ya siku mbili nimeona miujiza ya miaka.Bibi kasimama wima isitoshe leo hii anasauti.... kachelee kwa matani yake alisikika akisema nyanya Leo kutanyesha kuku nimesikia sauti yako kicheko pande zote kilitanda chumbani na kilipunguza Hali hiyo ya mshike  pale.

Kaka badili tabia zako Baba amekuonya  Tamaa ilumua fisi punguza staree kwani ivi leo ujui ngoma ya mtoto hikeshi wacha upumbavu kesho nakwalika kwa maombii kule maskani.....Baba kapewa msomo na dadake kilicho nishangaza ata sauti nisisikie kutoka kwa Baba kweli Simba na ukali wake hutiwa mimba  kuran za *Reverend* zilimzima zii..Nyanya kawatamaza wote kwa kutulia na mwingi wa tabasamu tabasamu....

 *Dear* chakula hakifiki ......Bora kwamwite *Mum* alete chakula ama Nile kachele ...............................

@prof George Daniel Meya.

Comments

Popular posts from this blog

PAINFUL BLESSINGS

she broke it

MY ROYAL HOME