BARUA KWA Babu

*Barau kwa Babu*........yaendelea.

Rafiki Babu shikamo? Pita pita zangu kwelekea kule kidimbwini   angalau nioshe mwili wangu Kama sio dhambi zangu..Juzi machweo badaa ya  kikao chetu nilijihisi mzima nikahisi joto la upendo wako wa dhati...... *Captain* Jana amekuwa mgeni wa kunguni kule  korokoroni  maskini mamangu katoweka Kule sijui.Babu ivi wajua mimi ni mjukuu wako wa majuzi tuu ata ubwabwa ujanisha shingoni.....

Ila kule maskani Mambo hayaendani.Nimebaki kua baba na mama ya *kachele* *captain* anahukumia kifungo Cha miezi za kuhesabu kwa makosa ya   kupendaa staree bila kupendaa kazi....asiye fanya kazi na asilee Basi babangu kavuna asipo panda kwa kigogo  *Manoti*  matokeo ni mimi babake _kachele_ yapitee hayo yanauzunisha haya ni makubwa.

Naliza moyo wangu,maswali mengi  majibu niyapate ng'o. Mdaa mwingi na jiuliza kwani kifo chako *Daraja*  kilipokonyaa jamii nzima nyota. Maskini mamangu katoweka wapi ? Umwonapo uko kusimu mfukuzee sitaki nipokonywee kilicho baki sitaweza kustahimili ..........

Rafiki mwisho wa Moshi ni moto yatapita tu! Kitumbua chako Bibi yangu anazidi kukukosa na Hali yake isemezeki Mungu amtende haki....lakini ipo SIKU majibu nitayapata najitia Imani yatapita ni ya mdaa tu hayaa *Tomorrow is a new day* ..................

@prof George Daniel meya..

Comments

Popular posts from this blog

PAINFUL BLESSINGS

she broke it

MY ROYAL HOME